Bei ya nyumba Hamidu City Park

Bei ya nyumba Hamidu City Park

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Naomba kuuliza kuna mwana jf yoyote ambaye anajua Bei za nyumba mradi wa Hamidu City Park Kigamboni, Kama kuna anayefahamu naomba anijulishe,Aksante.
 
Naomba kuuliza kuna mwana jf yoyote ambaye anajua Bei za nyumba mradi wa Hamidu City Park Kigamboni, Kama kuna anayefahamu naomba anijulishe,Aksante.
Mwaka juzi nilikua na project nao kuna nyumba mil 200 unahamia na begi tu,kuna zile design wanaita studio ilikua 75 kama nakumbuka vizuri....office zao ziko posta karibu na ttcl office

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom