shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
Habari wadau..
Hizi bei za nyumba za kupanga ni noma.. Vyumba viwili , sebule jiko zinacheza laki 3 kwa mwez na kodi mwaka..
Chumba kimoja tu na sebule around laki 2 kwa mwezii.. Family house ndio hazigusiki kabisa around laki 5 kwa mwezi...
Kweli hii ni balaa.. Maana chumba kimoja tu master around laki 1 kwa mwezii.. Hapo kweli hata kuoa/ kuolewa ndoa lazima ziwe ngumu...
maisha yanapanda kwa spidi ya juu sana na sana..