Mbona nimesikia ni zaidi ya milioni 1
Andaa 600 kwa note 3 na mia 8 kwa note 4,s6 ni 1m.
simu zinapitwa na wakati haraka haraka, ukija mwakani tarehe kama ya leo utaikuta note 3 inauzwa hata laki 3. note 4 sasa hivi bei zake around laki 9 hv
Huwezi kupata s6 original kwa 1m sasa hivi labda mpaka baada ya mwaka, s6 haiwezi kuwa chini ya 1.4-1.5mAndaa 600 kwa note 3 na mia 8 kwa note 4,s6 ni 1m.