Bei ya mshikaki coco beach

Bei ya mshikaki coco beach

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
946
Reaction score
214
Kwa wadau wote wanaopendelea kula mshikaki coco nawataharifu bei ya mshikaki wa ng'ombe ni 1500 na mshikaki wa samaki ni 2500 kama kuna siku umeuziwa zaidi ya hapo umeibiwa kuna baadhi ya wahudumu pale ni wezi hiyo nimegundua jana baada ya kudaiwa hela tofauti na niliyozoea kulipa badala ya 1500 nilikuwa nalipa 2000 na badala ya 2500 nilikuwa nalipishwa 3000, kuweni makini mletewapo bill .
 
Upande gani huo maana kuna mtu kaniambia eti bei zimebadilika au na sie tumepigwa changa la macho...
 
Watu wa Dar njaa kweli sisi wa Kaskazini hatulagi mambo ya mishikaki, unakuta ng'ombe katundikwa unawambia wakukatie upande gani unataka kwa kilo au mbuzi mzima katundikwa unaagiza mguu, kidali, mkono au mbavu ikiletwa unakula tumbo juu na kuteremshia maji ya dhahabu. Kama ni kuku ni wale wa kienyeji chapa Singinda na Manayara. Mshikaki utasikia nini
 
kuna sehemu masaki kuna mishikaki mitamu sana, ya hapo coco chenga tu.
 
Wasikudanganye Hilo ni butcher liko mbagala kizuiani
 
Watu wa Dar njaa kweli sisi wa Kaskazini hatulagi mambo ya mishikaki, unakuta ng'ombe katundikwa unawambia wakukatie upande gani unataka kwa kilo au mbuzi mzima katundikwa unaagiza mguu, kidali, mkono au mbavu ikiletwa unakula tumbo juu na kuteremshia maji ya dhahabu. Kama ni kuku ni wale wa kienyeji chapa Singinda na Manayara. Mshikaki utasikia nini

wewe unakula kwa njaa.....wenzio tunakula kwa hamu tu......hatuendi coco au sehemu ingine kushiba nyama....mbuzi mzima wa nini kama sio umero bin uroho tu......
 
Mtuwekee na bei za papuchi katika soko la kona bar,,,meeda,,,kimboka,,,,sokota ,,,,kwasasa bei ipo vile vile au imepanda,,,,,
 
Ahaaaaa!! TClever ukisikia tu hamu ya chakula ujue hiyo ni njaa. hakuna hamu ya chakula bali ni njaa. Kwa hiyo sidhani ukiwa na hamu ya mshikaki ukipewa mguu wa mbuzi au kilo ya nyama choma ng'ombe utasaza kitu. Kukosekana vitu kunazaa lugha eti hamu kumbe njaa tu
wewe unakula kwa njaa.....wenzio tunakula kwa hamu tu......hatuendi coco au sehemu ingine kushiba nyama....mbuzi mzima wa nini kama sio umero bin uroho tu......
 
Aisee me nimelipia 2000 tangu mwaka jana
 
Huyo jamaa ndio alienipiga na mimi baada ya kuona namshangaa akadakia bei zimebadilika kesho yake muhudumu mwingine akanicharge bei niliyozoea nikagundua nimepigwa tayari.
Upande gani huo maana kuna mtu kaniambia eti bei zimebadilika au na sie tumepigwa changa la macho...
 
Back
Top Bottom