Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,998 Reaction score 23,496 May 8, 2024 #41 ngenya said: Huku mchele mzuri sana 1000 kwa kilo, wakulima wetu wataendelea kufa masikini tu Click to expand... Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara. Kimsingi bei ya mchele kuwa kubwa mjini na ndogo vijijini ni matokeo ya gharama sio faida.
ngenya said: Huku mchele mzuri sana 1000 kwa kilo, wakulima wetu wataendelea kufa masikini tu Click to expand... Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara. Kimsingi bei ya mchele kuwa kubwa mjini na ndogo vijijini ni matokeo ya gharama sio faida.
ngenya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,346 Reaction score 1,818 May 8, 2024 #42 Zemanda said: Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara. Kimsingi bei ya mchele kuwa kubwa mjini na ndogo vijijini ni matokeo ya gharama sio faida. Click to expand... Ni lini hamkuwalaghai kwa maneno haya haya? Mliwasaidia?
Zemanda said: Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara. Kimsingi bei ya mchele kuwa kubwa mjini na ndogo vijijini ni matokeo ya gharama sio faida. Click to expand... Ni lini hamkuwalaghai kwa maneno haya haya? Mliwasaidia?
A Alfredi Peter Member Joined Mar 5, 2024 Posts 5 Reaction score 1 May 30, 2024 #43 Love Doctor said: Habari ndugu Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara Click to expand... Karibu kwa biashara 0674353374
Love Doctor said: Habari ndugu Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara Click to expand... Karibu kwa biashara 0674353374
T tony2811 New Member Joined Jun 30, 2024 Posts 2 Reaction score 1 Jun 30, 2024 #44 Naweza pata no zako
Dr leader JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 1,080 Reaction score 1,448 Jul 3, 2024 Thread starter #45 tony2811 said: Naweza pata no zako Click to expand... 0718569091
Nyafula JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 396 Reaction score 489 Jul 4, 2024 #46 Sako kwa bako
Dr leader JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 1,080 Reaction score 1,448 Aug 24, 2024 Thread starter #47 free lander said: Bei ya mchele inategemea na ubora. Kama utakuwa na uhitaji toka Ifakara karibu Click to expand... Bei gani huko asaiv
free lander said: Bei ya mchele inategemea na ubora. Kama utakuwa na uhitaji toka Ifakara karibu Click to expand... Bei gani huko asaiv