Hayo ni madhara ya kutumia hela kwenye miradi ya kijinga na V8. Kuliko kuwekeza kwenye umwagiliaji. Kilimo cha kutegemea mvua ni zaidi ya kubeti. Suluhisho ni Serikali iwekeze kwenye umwagiliaji.
Zaidi ya hapo bei zitapaa mpaka mchele kilo itakuwa 10,000, na itapaa zaidi mpaka kilo moja ya chakula itafika laki. Na itaendelea kupaa mpaka kufika mbinguni.
Kwa sasa tuombe Mungu alete mvua.