Bei ya mbaazi

Bei ya mbaazi

uhurubado

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2007
Posts
929
Reaction score
1,085
Wakuu mwenye taarifa za bei na mwenendo wa soko la mbaazi msimu huu naomba azimwage hapa.
 
Nasikia wahindi wameanza kulima mbaazi huko kwao mwaka huu...Bei imeporomoka mara dufuuuu Mwaka huu wakulima wa mbaazi si tutakufa na njaa aieeeeee.....
 
Huku Lindi & Mtwara ghalani zinanunuliwa sh 300/= per 1kg
 
bei ya mazao sokoni zinakatisha tamaa aisee...sijui tatizo ni nni
 
Bei za mwaka huu ni kati ya Tsh 200 na 300 wahindi wamegoma kununua kwani nao wamezalisha sana mwaka huu. Kumbuka bei ya mbaazi ni 200-300 , na bei ya chupa tupu sh 450 hapo unachagua kipi ?
 
aisee leo nmepita hapo soko la kigogo kiroba cha mbaazi ni 25,000 mpk 15,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom