Bei ya mbaazi Dar na kwingineko ikoje?

Wakulima wenzangu na wengine mnaojua,bei ya mbaazi kwa gunia ikoje hapa Dar es Salaam au kwingineko?

Tuhabarishane wakuu


s2016071085828.jpg


Waziri mkuu wa India alifanya ziara ya kiserikali nchini Tanzania mwezi wa saba 2016.

Katika mazungumzo na viongozi wa Tanzania walitoa matamshi ambayo yalimfedhehesha sana waziri mkuu wa India na nchi yake. Kabla ya kuondoka alitoa agizo kwa balozi wao hapa nchini, kuzuia kwa kiwango kikubwa mazao ya Tanzania kutokuingizwa kwenye soko la India.

Mwaka huu tumeshuhudia jinsi bei ya baazi ilivyoporomoka kutoka bei ya shilingi 2,000 mwaka jana hadi shilingi 200 mwaka huu. Serikali imekuja na sababu nyepesi nyepesi kuwa India wamevuna sana mwaka huu hivyo wamezuia mazao kutoka nchi za nje.

Mimi mwenyewe nimelima ufuta upo ndani nimeshindwa kuuza.
 
Mazao ya kunde,baazi nitalima kama nitakuwa na sherehe mwaka unafuta baada ya mavuno. Ufuta siji kulima kamwe.Mwaka huu nililima ekari 5 nikapata hasara haram.
 
Back
Top Bottom