Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Wakulima wenzangu na wengine mnaojua,bei ya mbaazi kwa gunia ikoje hapa Dar es Salaam au kwingineko?
Tuhabarishane wakuu
Tuhabarishane wakuu
Za kutoka arusha 650 kwa 1 kgWakulima wenzangu na wengine mnaojua,bei ya mbaazi kwa gunia ikoje hapa Dar es Salaam au kwingineko?
Tuhabarishane wakuu
Asante nduguZa kutoka arusha 650 kwa 1 kg
Kwa dsm
Export wananunua
Njoo Babati ni 350/=Wakulima wenzangu na wengine mnaojua,bei ya mbaazi kwa gunia ikoje hapa Dar es Salaam au kwingineko?
Tuhabarishane wakuu

Babati sehemu gani mkuu?Njoo Babati ni 350/=![]()
![]()
![]()
Wakulima wenzangu na wengine mnaojua,bei ya mbaazi kwa gunia ikoje hapa Dar es Salaam au kwingineko?
Tuhabarishane wakuu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 nouma sanaMasasi bei ya Mbaazi ni tshs 150 - 250 kwa kilo. Mimi zangu cjazivuna nmeacha shamba ukouko sababu gharama ya kuvuna ni kubwa kuliko nitachopata. Naruhusu yeyote anayehitaji akavune
Masasi bei ya Mbaazi ni tshs 150 - 250 kwa kilo. Mimi zangu cjazivuna nmeacha shamba ukouko sababu gharama ya kuvuna ni kubwa kuliko nitachopata. Naruhusu yeyote anayehitaji akavune

Masasi ufuta VP beiMasasi bei ya Mbaazi ni tshs 150 - 250 kwa kilo. Mimi zangu cjazivuna nmeacha shamba ukouko sababu gharama ya kuvuna ni kubwa kuliko nitachopata. Naruhusu yeyote anayehitaji akavune
Mtwara kilo 200-300 wakulima wamegoma kuuza wanakula wenyewe 😱😀😀😀




hizi comment zinakatisha tamaa dah..Ufuta ulikosa soko au.unazo badoMazao ya kunde,baazi nitalima kama nitakuwa na sherehe mwaka unafuta baada ya mavuno. Ufuta siji kulima kamwe.Mwaka huu nililima ekari 5 nikapata hasara haram.
Nilipata kiasi kidogo.uliharibika na mvua,wakati umekomaa ulipigwa na mvua mwezi mzima ukooza.Pia bei ilikuwa ya ajabu.kilo moja sh 1100/=Ufuta ulikosa soko au.unazo bado