Bei ya mawe aina ya quartz ikoje?

Bei ya mawe aina ya quartz ikoje?

Dooh kwa hiyo kwa sasa hata hizi cheap stoney ni ishu kusafirisha? na ishu kubwa ni kuyazukia hukohuko uchinani maana hawa wanaokuja bongo wanatupiga sana
Ngumu hakuna biashara inayofanyika zaidi ya kimagumashi
Wanunuzi wengi wako kenya sasa kupeleka mzigo shuguli nyingine
Kupeleka mawe China hongkong etc lazima ujipange,lazima uanze mdogo mdogo tengeneza link na watu huko uje usafirishe
Kupigwa hku ni ww mwenyewe tu Kama unajitambua na unajua ugumu wa mawe na kazi lazima utauza bei juu au ya maslahi kwako

Ova
 
Dooh kwa hiyo kwa sasa hata hizi cheap stoney ni ishu kusafirisha? na ishu kubwa ni kuyazukia hukohuko uchinani maana hawa wanaokuja bongo wanatupiga sana
Haya ni madini?
 

Attachments

  • IMG_20190629_104635.jpg
    IMG_20190629_104635.jpg
    144.3 KB · Views: 51
  • IMG_20190629_104358.jpg
    IMG_20190629_104358.jpg
    138.1 KB · Views: 48
  • IMG_20190629_123522.jpg
    IMG_20190629_123522.jpg
    90.9 KB · Views: 48
  • IMG_20190629_123459.jpg
    IMG_20190629_123459.jpg
    113.7 KB · Views: 49
  • IMG_20190629_104641.jpg
    IMG_20190629_104641.jpg
    131.3 KB · Views: 49
Nimeshawahi kufanya hii biashara kidogo inatabu maana quarts zina masharti sana ila kama kuna mtu anayo Quarts glass au Topaz ukubwa kuanzia kilo moja na kuendelea ani pm hizo ni hela
Boss nicheak whatsp tufanye biashara +255758759239
 
Nimeshawahi kufanya hii biashara kidogo inatabu maana quarts zina masharti sana ila kama kuna mtu anayo Quarts glass au Topaz ukubwa kuanzia kilo moja na kuendelea ani pm hizo ni hela
Mim nina quartz zaidi ya kilo 8 soko lake sijui liko wapi naomba msada
 
Haya mawe yanatumika kwenye,kutengeneza screen za simu,Ipad,Laptop na LCD TVs,fibre Optic cable,ICs za all electronics equipments duniani,ila yanakuwa na thamani kubwa iwapo yatauzwa kama Unga(baada ya kuyasaga na kupata mesh size zinazotakiwa na buyers) hapo yalipo tani moja aizidi laki3.Nnakushauri anzisha kiwanda uyasage ndo utapata faida Boss wangu ,na kama upo tayari kuyauza kwa bei ya laki 2 tatu kwa tani moja (1000kg),inatakiwa uwe na atlest 20tonnes(one 2Oft Container) ili uweze pata faida kidogo.PM me kama upo serious
Huoni kama ukiyasaga ndiyo yanaweza hata kukusababishia hasara kutokana na gharama ya kusaga pamoja na kufanya sieve analysis kwa ajili ya kupata ile grain size inayohitajika? Ni kwa sababu kitu hiki ni lazima kifanyike kwenye kiwanda maalum au maabara za wataalamu wa miamba waliobobea, na gharama yake lazima iwe ni kubwa muno. Mimi naona bora kama mtu anayo, ayauze yakiwa raw, angalau atapata faida kidogo. Ukiyasaga ili uuze unga chances ni kwamba unaweza ukapata hasara.
By the way, yakiwa yamesagwa na kuwa unga, how much would a kilo of such powder, sell?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom