Bei ya mawe aina ya quartz ikoje?

Bei ya mawe aina ya quartz ikoje?

Joined
Apr 16, 2013
Posts
20
Reaction score
2
jamani, nina mawe ya quartz karibu kilo 100+, nataka kuyauza sasa sijajua bei yake ikoje, naomba mnisaidie
 
Attachments

  • Photo-0045.jpg
    Photo-0045.jpg
    26.6 KB · Views: 859
  • Photo-0043.jpg
    Photo-0043.jpg
    30.1 KB · Views: 883
Haya mawe yanatumika kwenye,kutengeneza screen za simu,Ipad,Laptop na LCD TVs,fibre Optic cable,ICs za all electronics equipments duniani,ila yanakuwa na thamani kubwa iwapo yatauzwa kama Unga(baada ya kuyasaga na kupata mesh size zinazotakiwa na buyers) hapo yalipo tani moja aizidi laki3.Nnakushauri anzisha kiwanda uyasage ndo utapata faida Boss wangu ,na kama upo tayari kuyauza kwa bei ya laki 2 tatu kwa tani moja (1000kg),inatakiwa uwe na atlest 20tonnes(one 2Oft Container) ili uweze pata faida kidogo.PM me kama upo serious
 
na me natafuta soko la kuuza kama unga mkuu, vp unalijua? na kilo ya unga wananunua sh ngapi?
 
Nimeshawahi kufanya hii biashara kidogo inatabu maana quarts zina masharti sana ila kama kuna mtu anayo Quarts glass au Topaz ukubwa kuanzia kilo moja na kuendelea ani pm hizo ni hela
 
Topaz ndo ikoje hyo wazee..?mi naijua aina moja tu ya mabonge au glass.
 
jamani, nina mawe ya quartz karibu kilo 100+, nataka kuyauza sasa sijajua bei yake ikoje, naomba mnisaidie
habari yako mkuu! kwanza nataka kujua una quartz ya aina gani smoke quartz, crystal quartz, quartz ya nyuzi, ppink quartz..fafanua hapo.bei ntakupa ukinambia ni aina gani ya quartz unayo ama unayo block quartz.
 
na me natafuta soko la kuuza kama unga mkuu, vp unalijua? na kilo ya unga wananunua sh ngapi?
huwezi uza kama unga mkuu ila kwa nlivyoyaona utauza chini ya 10000 kwa kg mkuu
 
Topaz ndo ikoje hyo wazee..?mi naijua aina moja tu ya mabonge au glass.
topaz ni jamii ya quartz ina tofauti kidogo kuna topaz iko round shape na topaz shape ya jiwe.na price ya topaz iko juu kuliko quartz kwa kg
 
habari yako mkuu! kwanza nataka kujua una quartz ya aina gani smoke quartz, crystal quartz, quartz ya nyuzi, ppink quartz..fafanua hapo.bei ntakupa ukinambia ni aina gani ya quartz unayo ama unayo block quartz.
Mkuu hii ni quartz ya aina gani?
IMG-20181208-WA0047.jpg
IMG-20181208-WA0049.jpg
 
miaka ya 2009,2010....hii ilikua bonge la kazi sema kwa sasa sijui ngoja nimtafute mdau mmoja yuko china anipe mwongozo
 
China bado deal quartz China biashara iko siku zote
Kuna mchina mmja namjua alikuwa anakujaga sana kununua quartz ila kwa sasa kutokana na serikali ksitisha vibali vya export za madini hawaji na waliyopo hawanunui

Ova
 
Dooh kwa hiyo kwa sasa hata hizi cheap stoney ni ishu kusafirisha? na ishu kubwa ni kuyazukia hukohuko uchinani maana hawa wanaokuja bongo wanatupiga sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom