F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,073 Jul 27, 2019 #21 lita 3000 kitako kina kipenyo gani? Gabriel jozeph said: Lita 3000 uneza kupata kwa sh 350,000/=. Click to expand...
lita 3000 kitako kina kipenyo gani? Gabriel jozeph said: Lita 3000 uneza kupata kwa sh 350,000/=. Click to expand...
F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,073 Jul 27, 2019 #22 PIA lita 2000 kitako kina kipenyo gani?
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Jul 27, 2019 #23 Ukinunua kiwandani hawakuzii moja
Carnivora JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,644 Reaction score 6,028 Jul 27, 2019 #24 ymalago said: shlingi laki 3.3 kwa lita 2000,na laki 4.5 kwa 3000lts Click to expand... Nimenunu mbagala pale kwa mwarabu lita 2000 simtank, kaniuzia laki mbili na 90 tu.
ymalago said: shlingi laki 3.3 kwa lita 2000,na laki 4.5 kwa 3000lts Click to expand... Nimenunu mbagala pale kwa mwarabu lita 2000 simtank, kaniuzia laki mbili na 90 tu.
Ulban Member Joined Jun 8, 2020 Posts 8 Reaction score 1 Jun 8, 2020 #25 Marire said: Ukinunua kiwandani hawakuzii moja Click to expand... Khaaaaa nikajua huko ndo kuna uafadhali
Marire said: Ukinunua kiwandani hawakuzii moja Click to expand... Khaaaaa nikajua huko ndo kuna uafadhali
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,442 Reaction score 40,212 Jun 8, 2020 #26 Marire said: Ukinunua kiwandani hawakuzii moja Click to expand... Wanauza, ila Bei yake ni kubwa kuliko dukani.
Marire said: Ukinunua kiwandani hawakuzii moja Click to expand... Wanauza, ila Bei yake ni kubwa kuliko dukani.
R Rakifi New Member Joined Mar 31, 2023 Posts 1 Reaction score 0 May 21, 2023 #27 ymalago said: shlingi laki 3.3 kwa lita 2000,na laki 4.5 kwa 3000lts Click to expand... Bhbm said: Wakuu naomba kujuzwa bei ya matank ya kuhifadhia miji ya lita 2000 au 3000, simtank au polytank kama sijakosea. Natanguliza shukurani wakuu. Click to expand... Laki 4.5 lita 3000.. Kama bado unaliitaji laki 4 .. piga number 0717636232
ymalago said: shlingi laki 3.3 kwa lita 2000,na laki 4.5 kwa 3000lts Click to expand... Bhbm said: Wakuu naomba kujuzwa bei ya matank ya kuhifadhia miji ya lita 2000 au 3000, simtank au polytank kama sijakosea. Natanguliza shukurani wakuu. Click to expand... Laki 4.5 lita 3000.. Kama bado unaliitaji laki 4 .. piga number 0717636232
Cumudia JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 510 Reaction score 862 Jul 11, 2023 #28 Matenki ya lita 500 na lita 1000 ni shilingi ngapi? Nina shida nayo
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,543 Reaction score 11,822 Dec 23, 2024 #29 Uzi umepota, hamuhitaji tena Matank!?
Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,766 Reaction score 3,500 Dec 23, 2024 #30 Kanali_ said: Uzi umepota, hamuhitaji tena Matank!? Click to expand... wewe taja bei tu mkuu watu watakuja
Kanali_ said: Uzi umepota, hamuhitaji tena Matank!? Click to expand... wewe taja bei tu mkuu watu watakuja