Bei ya mashine za kutengenezea tambi

Bei ya mashine za kutengenezea tambi

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,863
Reaction score
3,099
Wadau wa JF poleni,

Kwa kazi nilikuwa nauliza mashine za kutengenezea tambi kama za santa luccia naweza kuzipata wapi na kwa bei gani.
 
Back
Top Bottom