Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,394
- 9,173
Hivi kwani BabyCare hatuwezi kupikia?
Tafuta pesaBei ya mafuta ya kupikia mtaani ikoje, tuambiane.
Yachemshee mpaka yatoe povu, kisha acha yapoe harufu itaisha
Kibamba tu hapa mkuu wala sio mkoauko iringa nini? Kuna mdau jana alikuwa anasema iringa ni 120,000 dumu la lita 20.
Korie 1lt ni 6000Bei ya mafuta ya kupikia mtaani ikoje, tuambiane.
Duuh yaani lita tatu za petrol??Sundrop 1L 9,000 Ubungo