Machadema yanapandisha bei kila siku wakati tulikubaliana tuchague Bunge la CCM.Sundrop 1L 9,000 Ubungo
upo kambiniSijui asee.
Naishi ghetto na huwa nakula kwa mama ntilie. Nina muda sana sijapika.upo kambini
sawa.Naishi ghetto na huwa nakula kwa mama ntilie. Nina muda sana sijapika.
Next weekend upike nakujaNaishi ghetto na huwa nakula kwa mama ntilie. Nina muda sana sijapika.
Alizeti 5500/= per litre mashineni hapoBei ya mafuta ya kupikia mtaani ikoje, tuambiane.
uko iringa nini? Kuna mdau jana alikuwa anasema iringa ni 120,000 dumu la lita 20.Juzi kwetu yalikuwa 5200,leo hii yamekwea mpk 6000,haya ni ya kupim kwa lita
Mkuu kwani hapa tunalaumia au tunajuza bei za mafuta? Huku kijijini kwetu alizeti 1.5ltr ni 9000sawa.
ata wali wa mantilie ukiwa mchemsho usilaumu
Wewe njoo kwanza tukafanye shopping ya hivyo vya kupikia maana sina.Next weekend upike nakuja
Watapandisha bei chakula mama ntilie ndo utaelewasawa.
ata wali wa mantilie ukiwa mchemsho usilaumu
Waziri wa kilimo yuko kimyaaaaMkuu kwani hapa tunalaumia au tunajuza bei za mafuta? Huku kijijini kwetu alizeti 1.5ltr ni 9000