Bei ya mafuta imeshuka( Oil price fall)

Bei ya mafuta imeshuka( Oil price fall)

Hekaya za Abunuasi

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
166
Reaction score
38
Wakuu ni wiki takriban ya pili sasa nimesikia kuwa bei ya mafuta kwa soko LA dunia umeshuka kwa 40%. Kama ni kweli mbona mafuta bado tuna uziwa kias cha Tsh 2029 kwa Lita? Au serikali yetu haijajua kuwa kuna punguzo la hiyo asilimia. Mwenye taarifa sahihi atujuze.
Chanzo cha taarifa hii ni BBC
 
Yameshuka kwel kama ni mtumiaj wa hiyo nishat utakuwa umeliona hlo
 
yameshuka nchini zingine duniani,hapa hayawezi kushuka,sanasana yatapanda bei,chezea ccm wewe???
 
Yameshuka kwel kama ni mtumiaj wa hiyo nishat utakuwa umeliona hlo

yaani kwa lita 10 imepungua elfu moja mkuu wakati huko umeambiwa imeshuka kwa asilimia 40..? Si utani huo kweli..!
 
Wafanya biashara.Eura.wanajua hakuna haja ya kushusha hakuna maandamano ya wananchi wanao dai kushusha bei ya mafuta.Nchi inahitaji kiongozi kama Nyerere alie jali watu wake si hawa wanaopiga na kutoa kucha watu wao.
 
Wakuu ni wiki takriban ya pili sasa nimesikia kuwa bei ya mafuta kwa soko LA dunia umeshuka kwa 40%. Kama ni kweli mbona mafuta bado tuna uziwa kias cha Tsh 2029 kwa Lita? Au serikali yetu haijajua kuwa kuna punguzo la hiyo asilimia. Mwenye taarifa sahihi atujuze.
Chanzo cha taarifa hii ni BBC
Hapa kwetu ni majanga, hakuna wa kumushikia paka kengere. Tutaendelea kuchunwa tu hata kama yameshuka
 
Kwa lugha za kuwafanya watz mazuzu kuna kituo kimoja cha mafuta njia ya bagamoyo wanauza bei ya chini kiasi 1890 but wameandika ni OFFER, nn maana yake hiyo kitu?
 
Kwa lugha za kuwafanya watz mazuzu kuna kituo kimoja cha mafuta njia ya bagamoyo wanauza bei ya chini kiasi 1890 but wameandika ni OFFER, nn maana yake hiyo kitu?

I see, mafuta yanauzwa kwa 'promotion' siyo? Kweli tumeshaonekana kiroba cha mazoezi!
 
tatizo wabongo hatuna ushirikiano,tufanyeni collaboration twendeni eura kutaka maelezo
 
Kwa lugha za kuwafanya watz mazuzu kuna kituo kimoja cha mafuta njia ya bagamoyo wanauza bei ya chini kiasi 1890 but wameandika ni OFFER, nn maana yake hiyo kitu?

Bado hiyo bei kubwa,inatakiwa yauzwe kwa 1300 per ltr.
 
unajua hapa Tz kuna mfumo mkubwa wa ununuaji wa mafuta (bulk procurement supply) kama sikosei. Na huu mfumo unanunua mafuta ya kutumia karbia miezi mitatu mbele, sasa wakati bei ya pipa la mafuta imeshuka kwa 40% huku bado yanatumika yale yaliyonunuliwa wakati bei haijashuka, nafikiri hii yaweza kuwa mojawapo ya sababu,
 
yameshuka nchini zingine duniani,hapa hayawezi kushuka,sanasana yatapanda bei,chezea ccm wewe???
matajiri wa mafuta watachangia thithiem uchaguzi. punguzo itakua danganyatoto halafu watapata faida kubwa kuliko mchango waliotoa kwa sisiem.
 
unajua hapa Tz kuna mfumo mkubwa wua ununuaji wa mafuta (bulk procurement supply) kama sikosei. Na huu mfumo unanunua mafuta ya kutumia karbia miezi mitatu mbele, sasa wakati bei ya pipa la mafuta imeshuka kwa 40% huku bado yanatumika yale yaliyonunuliwa wakati bei haijashuka, nafikiri hii yaweza kuwa mojawapo ya sababu,

Yakipanda mbona wa wanapandisha siku hiyo hiyo?
 
Back
Top Bottom