nickvalerion2810
Senior Member
- Mar 31, 2015
- 112
- 36
2 m??
kila mtu ana individual interest mkuu... usisema ni ushambaKuremba gari ni ushamba...we piga tinted tu inatosha funga matairi ya maana hata kama rim ya kawaida tairi zinaonekana... Eti utakuta mtu kaweka na tv kwenye gari wakati hata abiria wanapenda kuangalia nje sasa sijui tv nani anaangalia
huyo harudi humu tena..2 m??
Kuremba gari ni ushamba...we piga tinted tu inatosha funga matairi ya maana hata kama rim ya kawaida tairi zinaonekana... Eti utakuta mtu kaweka na tv kwenye gari wakati hata abiria wanapenda kuangalia nje sasa sijui tv nani anaangalia
Hata mimi naona ni ushamba tu.kila mtu ana individual interest mkuu... usisema ni ushamba
Asante sana mdau nahisi nitaanza na ream sports na pambo la nyuma juu nitapiga tinted basiream sports used 5@200,000.00
madflap original 200,000.00
pambo la nyuma juu 200,000.00
nyuma chini 175,000.00
kiujumla andaa 2m