Bei ya tiketi ya ndege inategemea na Jimbo unalokwenda, shirika la ndege unalotumia, pia ni majira gani ya mwaka unayotaka kusafiri. Bei ya visa pia inategemea, visa ya utalii, ya ukazi wa kudumu, au ile ya kuingia na kutoka- na kuingia tena(Multiple Entry Visa)!. Kazi kwako Mheshimiwa.
Hit hapa Flights: Find Cheap Flights & Airfares | Priceline kuhusu ada ya visa nakumbuka mapema mwaka huu niliangalia ilikuwa 160$ sasa sijui kama imebadilika,nitaiangalia link then nitakupa usome lakini ada inategemea unaenda kwa madhumuni gani.