Wadau nataka kununua kiwanja maeneo ya Chanika Msumbiji chenye ukubwa wa robo eka bila kujali kimepimwa au hakijapimwa,bajeti yangu ni Tsh 1.5 ml.Je naweza kupata?Naombeni mnijuze kama kipo kiwanja maeneo hayo.