Moyouliokufa
Member
- Jan 13, 2017
- 13
- 7
Asante mkuu4000-7000tshs kutegemea na mapatano ila haizidi hapo
Nipo mbeya kakaMimi fundi tiles uko wapi tufanye kazi,napiga 5000 m
Mkuu alubati, kati ya kuweka tiles, kufanya skimming, kuweka masinki ya vyoo na ya kunawia na kuweka Aluminium.. Kipi kinatakiwa kuanza, kipi kifuatie na kipi kiwe cha mwisho?Tumafanyaje kaka nipe details,mi nafanyaga kazi mpaka tunduma,sasa nipo morogoro,namba yangu umeiona?
wiring/maji-Plasta-blanderring-skimming-g/boards-tiles-fitting of various attachements(masink, madirisha, taa etc.)-rangiMkuu alubati, kati ya kuweka tiles, kufanya skimming, kuweka masinki ya vyoo na ya kunawia na kuweka Aluminium.. Kipi kinatakiwa kuanza, kipi kifuatie na kipi kiwe cha mwisho?
Ushauri wako tafadhali
Mkuu Chiwaso, barikiwa sana. Asantewiring/maji-Plasta-blanderring-skimming-g/boards-tiles-fitting of various attachements(masink, madirisha, taa etc.)-rangi
Fuata huo mtiririko, unaweza kukupa mwanga.
Nop [HASHTAG]#cjaiona[/HASHTAG] mkuuTumafanyaje kaka nipe details,mi nafanyaga kazi mpaka tunduma,sasa nipo morogoro,namba yangu umeiona?