Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,563 Reaction score 5,371 Sep 2, 2018 #1 Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,433 Reaction score 191,755 Sep 2, 2018 #2 Bei ya kioo inaweza kuwa nusu ya gharama ya halisi ya simu. Maana samsung wanachoringia ni hizo panel za amoled zaidi ya hapo ni extras tu. Hivyo jipange, but kwa ushauri ni bora uuze hio simu ilivyo kisha ununue nyingine.
Bei ya kioo inaweza kuwa nusu ya gharama ya halisi ya simu. Maana samsung wanachoringia ni hizo panel za amoled zaidi ya hapo ni extras tu. Hivyo jipange, but kwa ushauri ni bora uuze hio simu ilivyo kisha ununue nyingine.