BlackGold_ Member May 31, 2013 94 27 Jun 16, 2013 #1 Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza kwa mtu anayejua bei ya samaki kwa kilo Viwandani Mwanza na je! Kwa wastani huwa bei ikoje?
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza kwa mtu anayejua bei ya samaki kwa kilo Viwandani Mwanza na je! Kwa wastani huwa bei ikoje?
Tripo9 JF-Expert Member Sep 9, 2009 4,352 3,533 Jun 16, 2013 #2 Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend
Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend
BlackGold_ Member May 31, 2013 94 27 Jun 17, 2013 Thread starter #3 Nasukuru sana mkuu, Lakini mimi kwa mawazo yangu nilidhani kuwa viwandani Mza huwa wananunua Sangara tu, kumbe hata Sato pia!!
Nasukuru sana mkuu, Lakini mimi kwa mawazo yangu nilidhani kuwa viwandani Mza huwa wananunua Sangara tu, kumbe hata Sato pia!!
CYBERTEQ JF-Expert Member Feb 11, 2012 7,341 4,045 Jun 17, 2013 #4 Tripo9 said: Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend Click to expand... filets (mnofu)?
Tripo9 said: Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend Click to expand... filets (mnofu)?
BlackGold_ Member May 31, 2013 94 27 Jun 17, 2013 Thread starter #5 Hapana sio fillets!! Nasemea samaki wa kawaida tu hawa wa kutoka ziwani!! Sangara!!
BlackGold_ Member May 31, 2013 94 27 Jun 19, 2013 Thread starter #9 Hawa walikuwepo siku za nyuma kidogo ila siku hizi hawaonekani!!
BlackGold_ Member May 31, 2013 94 27 Jun 19, 2013 Thread starter #11 Fuatilia uzi huu vizuri kuna mkuu mmoja hapo juu, ameshatoa maelezo kuhusu bei ya Sato...