BlackGold_
Member
- May 31, 2013
- 94
- 27
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza kwa mtu anayejua bei ya samaki kwa kilo Viwandani Mwanza na je! Kwa wastani huwa bei ikoje?
filets (mnofu)?Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend