Bei ya kilo ya samaki Viwandani Mza??

BlackGold_

Member
May 31, 2013
94
27
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza kwa mtu anayejua bei ya samaki kwa kilo Viwandani Mwanza na je! Kwa wastani huwa bei ikoje?
 
Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend
 
Nasukuru sana mkuu, Lakini mimi kwa mawazo yangu nilidhani kuwa viwandani Mza huwa wananunua Sangara tu, kumbe hata Sato pia!!
 
Hapana sio fillets!! Nasemea samaki wa kawaida tu hawa wa kutoka ziwani!! Sangara!!
 
Fuatilia uzi huu vizuri kuna mkuu mmoja hapo juu, ameshatoa maelezo kuhusu bei ya Sato...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom