Bei ya kilo ya kahawa ilosagwa ni shilingi ngapi?

Elf 10 na ushee hivi; ukiihitaji nikupe connection.

Pia kumbuka kuna robusta na arabika pia kuna ya Arusha na bukoba.
 
Unataka bei ya kiwandani au dukani kama supermarket? Pia unataka aina ya kukaanga au instant coffee? Ukijibu hayo maswali tutajua namna ya kukusaidia.
 
Nataka ilosagwa ilo km unga
 
Back
Top Bottom