Kama uko tayari twende Kyela early next month I,e June.Habari wakuu. Naomba kufahamu je mpunga wameanza kuvuna huko Mbarali? Vipi kuhusu bei ya gunia la mpunga huko kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki. Shukran.
Acha kudanganyaAisee kama unataka mpunga au mchele njoo Tabora Wilaya ya Nzega...... Mpaka hivi leo bei ya gunia moja 90kg ni 55K na inazidi kushuka....jioni ya leo bei ya mchele kwenye vituo vingi ilikuwa Tsh 1200-1300
Niache kudanganya kipi sasa mkuu.....nafanya iyo biashara nje kidogo na mji wa nzega....hali ndo hiyo....Acha kudanganya
Aisee kama unataka mpunga au mchele njoo Tabora Wilaya ya Nzega...... Mpaka hivi leo bei ya gunia moja 90kg ni 55K na inazidi kushuka....jioni ya leo bei ya mchele kwenye vituo vingi ilikuwa Tsh 1200-1300
Morogoro ifakara gunia 120 000 la debe 10 kilo ya mchere high qulit 1400. Kalibu sana
aisee ni kweli....wala sitanii....leo 16/08/2018 vituo vingi vinauza mchele kwa bei ya 950 mpaka 1050...1100 ni Mara chache sana japo bei ya mpunga bado ni 55K mpaka 60KNi kweli mkuu au unatania?
Mkuu huko kuna mchele wa kunukia kama unaopatikana huku mbeya ,aisee ni kweli....wala sitanii....leo 16/08/2018 vituo vingi vinauza mchele kwa bei ya 950 mpaka 1050...1100 ni Mara chache sana japo bei ya mpunga bado ni 55K mpaka 60K
Mlinda kigoma debe LA mpunga ni sh.4000 tu
WATU WAPO KIMYA SIJUI HAMANA ALIYEKO MASHAMBANIBei ya mpunga gunia la kg80 kwa mbeya ni bei gni wadau?