Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,411
Hebu tusubiri mamlaka zinasemajeJe, kuondoka kwa huyu mzee ndio kumeshaanza kutugharimu mara hii hata jamvi hatujaanua?
Nimeamka na kamtungi kangu huku nimebeba noti mbili nyekundu nkiwaza narudi na buku 3, kufika nahamaki kuambiwa eti bei imepanda ni elfu 20 kwa elfu 52.
Nafikiri kinachofuatia sasa ni kutuondolea na zile channel za bure alizopigania JPM, Ni wakati sasa wa matajiri kuishi kama "malaika ".
R. I. P JPM.
Arusha ilikuwa 17k hadi juzi.Mkuu mbona mi kitambo nanunua kwa 20k, uko mkoa gani?
Acha unafiki mbona sukari na mafuta hausemi, wakati gesi ndogo ni elf20 siku nyingi
Kitambo kipi unazubgumzia maana najaza gesi kila baada ya wiki 3.kitambo sana iyo bei, labda kama unaishi kwa shemeji
Unaishi kwa shemeji wewe, iyo bei kitambo sanaKitambo kipi unazubgumzia maana najaza gesi kila baada ya wiki 3.
Siku nyingi zipi? Uko mkoa gani? Usipende tu vita na mtu ambaye hata hamfahamiani, punguza kisirani.Acha unafiki mbona sukari na mafuta hausemi, wakati gesi ndogo ni elf20 siku nyingi
Kama MoshiArusha ilikuwa 17k hadi juzi.
Hivi ukiwa mwerevu unapungukiwa nini? Kama unaweza kumtusi usiyemfaham, je unaoishi nao? Empty minded!unaishi kwa shemeji wewe, iyo bei kitambo sana
Naona wananibishia mkuu bora umensaidia. Sijui hawa watu wanaishi Tz ipi.Kama Moshi