iverson95 Member Joined Oct 12, 2013 Posts 67 Reaction score 8 Oct 12, 2015 #1 habari wana JF nilikua nauliza kwa anaejua bei ya dvd empty kopo ama bei ya box moja n sh ngap anisaidie tafadhali naomba majib ya busara tafadhali
habari wana JF nilikua nauliza kwa anaejua bei ya dvd empty kopo ama bei ya box moja n sh ngap anisaidie tafadhali naomba majib ya busara tafadhali
Kafiti JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 538 Reaction score 220 Oct 12, 2015 #2 15,000/= mpaka 30,000/=
D Dhahir Senior Member Joined Sep 1, 2013 Posts 133 Reaction score 54 Oct 13, 2015 #3 Bei inaanzia 12000/= hadi 15 mtaa wa Aggrey
iverson95 Member Joined Oct 12, 2013 Posts 67 Reaction score 8 Oct 15, 2015 Thread starter #4 asante wadau
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,489 Oct 16, 2015 #5 chini ya 12,000 pia unaweza kupata, aggrey na msimbazi, ipe mgongo roundabout ya uhuru ingia kushoto mwisho wa jengo la kwanza kuna mama anauza bei nzuri
chini ya 12,000 pia unaweza kupata, aggrey na msimbazi, ipe mgongo roundabout ya uhuru ingia kushoto mwisho wa jengo la kwanza kuna mama anauza bei nzuri