muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,427
- 9,924
Mhhh kwa bei hizo sisi wenye mishahara ya kaki 2 Dstv ni mlima mrefu sana kuupanda....
dstv walanguzi sana kuna utofauti mkubwa sana wa chaneli kati ya kifurushi cha compact plus(86k) na premium (135k) ukichukua compact plus za sports unapata ss 200,206,207,209 na super sport maximo wakati mechi nzuri wanaonyesha ss3,ss4,na ss 5 wanafanya hivyo purosely hata kwa mpenda movie mnet 102,103,104 zote hupati unaenda kupata 107,mnet action,universaal channel na nyingine za kawaida ila movie kali za mnet 103,105 hupati so kwa upande wangu to be honest kama unajiweza bora uchukue tu premium hivi vingine vinazingua sana hasa kama ni mpenzi wa mpira coz movie unaweza kucheki marudio ila mpira huwa live
Zuzu tulia basi wenye kujua wafanye yao...
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Sasa mm na ww nani ndo zuzu? Mtoto wa kiume unakuwa mvivu tu unaletewa Link unataka utajiwe kila kitu. Afu unajiita Kiboko au kiboko ya rangi?
mmhh mimi nikilipia compact plus kukiwa namechi nne kwa wakati mmoja basi zile mechi nzuri hupati kuziona coz wanaonyesha ss3 ,ss4 na ss5 ambazo kwangu mimi kwenye compact plus sizipati napata ss6,7,9 na maximoMimi nilikuwa nikilipia Compact+ nina ona mechi zote ambazo zinaonyeshwa na Super Sport labda kama wamebadilisha hii miezi miwili.
Kwa sasa kujiunga DSTV ni Tsh 129,000 ( decorder na dish) then utajumlisha na bei ya fundi ambayo Mara nyingi ni Tsh 20,000.Vifurushi vipo vya Access-17,000,
Family-33,000,
Compact-55,000,
Compact Plus -90,000
naPremium -139,000
hiyo sheria inahusu local companies tu, DStv ni international haifuati hizo sheria ndio maana unaona hata malipo yao ni equivalent to USD ni kama qsat na makampuni mengine. Ile sheria inahusu local ving'amuziNiliwahi kusikia kuwa sheria ya mawasiliano inayataka makampuni yanayo toa huduma za kurusha matangazo ya TV kuwa zipo zile channel za kitaifa ambazo zinatakiwa kurushwa bure kama kwa sasa DSTV wanazo Channel 10, Star tv, na TBC. Lakini ajabu ni kuwa kifurushi chako kikiisha hapo hapo na hizo channel zinaondoka hewani ila zile za Kichina tuu ndio zinakuwa hewani.
Sasa jee sheria hii haiwahusu DSTV? Au wahusika huko kwenye mamlaka wanawaogopa hao DSTV? Au kuna rushwa ilishatembea?
Sent from my iPad using JamiiForums
hiyo sheria inahusu local companies tu, DStv ni international haifuati hizo sheria ndio maana unaona hata malipo yao ni equivalent to USD ni kama qsat na makampuni mengine. Ile sheria inahusu local ving'amuzi
hiyo sheria inahusu local companies tu, DStv ni international haifuati hizo sheria ndio maana unaona hata malipo yao ni equivalent to USD ni kama qsat na makampuni mengine. Ile sheria inahusu local ving'amuzi
Kwa sasa kujiunga DSTV ni Tsh 129,000 ( decorder na dish) then utajumlisha na bei ya fundi ambayo Mara nyingi ni Tsh 20,000.Vifurushi vipo vya Access-17,000,
Family-33,000,
Compact-55,000,
Compact Plus -90,000
naPremium -139,000
Hakuna sheria ianayosema makampuni ya kigeni yafanye malipo kwa USD tu, ni uzembe wa serikali kuruhuru haya makampuni mengine kuwanyonya Watanzania.
Kuna makampuni mengi tu ya kimataifa, ambayo yanafanya malipo kwa Tshs.