Bei ya DSTV

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,834
2,000
Wakuuu kwa mwenye kujua hili naomba msaaada naweza pata DSTV full kwa sh ngap yaaan kile kifurush kikubwa kabsa cha matumiz ya nyumban na installlation fee inakuwa ngap na pia nijue kma hao watu wa inst wanapatikana mpka huku vjijin nliko? Mf. Namtumbo Songea

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
stata mzuka

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
4,837
1,250
Wakuuu kwa mwenye kujua hili naomba msaaada naweza pata DSTV full kwa sh ngap yaaan kile kifurush kikubwa kabsa cha matumiz ya nyumban na installlation fee inakuwa ngap na pia nijue kma hao watu wa inst wanapatikana mpka huku vjijin nliko? Mf. Namtumbo Songea

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Ingia humu www.dstv.com
 
Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,834
2,000
Kma wajua mwagika hapa, hyo site unazngua

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,603
2,000
Kwa sasa kujiunga DSTV ni Tsh 129,000 ( decorder na dish) then utajumlisha na bei ya fundi ambayo Mara nyingi ni Tsh 20,000.Vifurushi vipo vya Access-17,000,
Family-33,000,
Compact-55,000,
Compact Plus -90,000
naPremium -139,000
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,322
0
Interest yako ni nini kwenye Tv
Football
Movies
Documentaries
Music
News
Then itakuwa rahisi kukushauri package gani inakufaa

Tungekua na watu kumi humu kama wewe JF ingekua juu sana. lakini kuna mazezeta humu kkila kitu yanapinga au kufanya utani. kama Matola na Flora Msoffe
 
Gide MK

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
7,239
2,000
Kwa sasa kujiunga DSTV ni Tsh 129,000 ( decorder na dish) then utajumlisha na bei ya fundi ambayo Mara nyingi ni Tsh 20,000.Vifurushi vipo vya Access-17,000,
Family-33,000,
Compact-55,000,
Compact Plus -90,000
naPremium -139,000
Ipo mpaka ya elfu 17 ila sijui inaitwaje.
 
Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,210
2,000
mi nataka movie tu!!

dstv walanguzi sana kuna utofauti mkubwa sana wa chaneli kati ya kifurushi cha compact plus(86k) na premium (135k) ukichukua compact plus za sports unapata ss 200,206,207,209 na super sport maximo wakati mechi nzuri wanaonyesha ss3,ss4,na ss 5 wanafanya hivyo purosely hata kwa mpenda movie mnet 102,103,104 zote hupati unaenda kupata 107,mnet action,universaal channel na nyingine za kawaida ila movie kali za mnet 103,105 hupati so kwa upande wangu to be honest kama unajiweza bora uchukue tu premium hivi vingine vinazingua sana hasa kama ni mpenzi wa mpira coz movie unaweza kucheki marudio ila mpira huwa live
 
Asante mkuuuu, hyo 135k n package tu. Au both installation cost na package? Hata mie nahitaj hyo premium ili nchek mech zote

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,278
2,000
Niliwahi kusikia kuwa sheria ya mawasiliano inayataka makampuni yanayo toa huduma za kurusha matangazo ya TV kuwa zipo zile channel za kitaifa ambazo zinatakiwa kurushwa bure kama kwa sasa DSTV wanazo Channel 10, Star tv, na TBC. Lakini ajabu ni kuwa kifurushi chako kikiisha hapo hapo na hizo channel zinaondoka hewani ila zile za Kichina tuu ndio zinakuwa hewani.
Sasa jee sheria hii haiwahusu DSTV? Au wahusika huko kwenye mamlaka wanawaogopa hao DSTV? Au kuna rushwa ilishatembea?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,210
2,000
Asante mkuuuu, hyo 135k n package tu. Au both installation cost na package? Hata mie nahitaj hyo premium ili nchek mech zoteSent from my iPhone using JamiiForums.����
mmh kwa hapo sijui ila najua kuna wanafanya full installation kwa 135k pamoja na kfurushi ila sijui wanakuoa kifurushi gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom