Bei ya dola na euro ikoje leo?

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
MSAADA: Nataka kufahamu dola moja ya kimarekani imeuzwa na kununuliwa kwa shilingi ngapi za kitz na vile vile EURO natanguliza shukurani
 
Kama sikosei Jumatano dollar ilipanda hadi kufikia $1=T Sh 1,825 sina uhakika katika siku hizi chache bei kama imepanda au kushuka na Euro najua ni more than T.sh 2,000 but I don't have the accurate exchange rate
 
Tembelea www.xe.com utapenda info zake!! hii inakuwa updated every minute. hata kama ni jumapili!! ila tu inakupa accurate value of dollar and other currencies. kuuza na kununua kwa bongo ni ushindani kati ya benki na benki au hzi zetu bureau de change!! hope itakusaidia mi natumia sana atleast kujua takriban kama imepaanda au kushuka. kila la kheri
 
njia rahisi kutumia yahoo finance ( Currency Converter - Yahoo! Finance ) au download application ya currency converter..


23leecy.jpg


21nm9ed.jpg
 
Back
Top Bottom