87500 per grm,24k
Nenda Indira gandhi street kuna buyers wengi unauza kama njugu tu
Kama dhahabu yko ni ya uhakika lkn
Zaidi ni pm nkupe muongozo zaidi!
Inategemea gold yko purity yake ni ngapi pia ila 24k ni hiyo bei nliyokupa hapo mkuu...
Kumbuka kuna 22k,18k,14k,10k,6k zote Zina bei zake kwa grm.
Ni muhimu kujua purity ya gold yako Kabla ya kuuza
Inategemea gold yko purity yake ni ngapi pia ila 24k ni hiyo bei nliyokupa hapo mkuu...
Kumbuka kuna 22k,18k,14k,10k,6k zote Zina bei zake kwa grm.
Ni muhimu kujua purity ya gold yako Kabla ya kuuza
Ukienda kwa Hawa wenye masonara wakubwa Kabla ya kuuza watakuangalizia purity yake hao Wana equipments hizo
Mfano dhahabu ya kilindi au sehemu za morogoro % yake inakuwaga kubwa mpaka 98% kwa Mara nyingi wao hawana haja ya kui purify
Ila inayotoka geita inakuwaga na some iron elements ndani na % inakuwaga ndogo