Frank nzoka
Member
- Aug 11, 2011
- 30
- 8
Hey! habari jamani, nahitaji kununua cherehani hebu mwenye uzoefu na hizi vitu anisaidie kunipa detail yoyote kuhusu aina nzuri na bei hasa nzuri za cherehani.
Hiyo ni Analog au Digital?Hivi vitu vipo kwa wingi sana siku hizi. nenda Milimani city na kitu kama 250,000/= utapa PAFF, SINGER, BUTTERFLY, Uchaguzi ni wako
Kha, haya maneno, analog na digital,yatakuwa wimbo wa taifa sasa!Hiyo ni Analog au Digital?
Hiyo ni Analog au Digital?