Bei ya bati za Alaf

Bei ya bati za Alaf

Gogovivu45

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
229
Reaction score
133
Habari zenu watu mlioko Mjini.( Dar & Mwanza & Arusha) Naomba msaada wa kufahamu bei za mabati kampuni ya alafu, hususani Gg 30 migongo midogo.

Napatikana Nyancheche mpakani mwa Izyiko na Buhororongoma... naomba mnisaidie. nahitaji pc 120. hivyo ningependa kujua angalau bei za viwandani kwanza.
 
Habari zenu watu mlioko Mjini.( dar & mwanza & arusha) Naomba msaada wa kufahamu bei za mabati kampuni ya alafu, hususani Gg 30 migongo midogo. napatikana Nyancheche mpakani mwa izyiko na buhororongoma... naomba mnisaidie. nahitaji pc 120. hivyo ningependa kujua angalau bei za viwandani kwanza.
Elf 29-30 dukani na 28500 kiwandani
 
Sasa nitakuwa na uhakika kuwa ni Alaf Og. Au limechakachuliwa kwa hilo la dukani! Maana mjini ujanjaujanja ni mwingi sana nipe muongozo please
Ukitaka uhakika nunua yale meupe ( yasiyo na rangi/plain) maana yana nembo yake imeandikwa kwa wino mwekundu, ila yale ya rangi ni ngumu sana kujua og na fake maana nembo yake imefichwa sana na imeandikwa kwa wino mweusi
 
Back
Top Bottom