emmanuel1976 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 301 Reaction score 80 Aug 24, 2011 #1 jamani nisaidieni, nina kakibanda kangu kanahitaji kuelezekwa hapo kitunda, Dar...nahitaji kujua wapi nipate mabati kwa bei nzuri na vifaa vingine vya finishing. Nahitaji mabati ya migongo mipana ya aluminiamu . Msaada please!
jamani nisaidieni, nina kakibanda kangu kanahitaji kuelezekwa hapo kitunda, Dar...nahitaji kujua wapi nipate mabati kwa bei nzuri na vifaa vingine vya finishing. Nahitaji mabati ya migongo mipana ya aluminiamu . Msaada please!
Dr wa ukweli JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 900 Reaction score 274 Aug 24, 2011 #2 Hayo siyo bei nafuu! Ukitaka bei nafuu nunua ya kawaida ''30 ni malaini kama pazia
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,098 Aug 24, 2011 #3 Dr wa ukweli said: Hayo siyo bei nafuu! Ukitaka bei nafuu nunua ya kawaida ''30 ni malaini kama pazia Click to expand... sidhani kama "30 ya siku hizi ni "30 kweli nahisi ni "36 maana hata kunguru akitua linabonyea, iwe mgongo mpana au mwembamba
Dr wa ukweli said: Hayo siyo bei nafuu! Ukitaka bei nafuu nunua ya kawaida ''30 ni malaini kama pazia Click to expand... sidhani kama "30 ya siku hizi ni "30 kweli nahisi ni "36 maana hata kunguru akitua linabonyea, iwe mgongo mpana au mwembamba