silinda ngapi hiyo. vp ulishawahi kuitia spana, ama kuionyoosha
Kwaio inaweza fika mbeya bila matatizo, na Tairi zake vip ingawa nimeziona kwa Picture fafanua
six kaka zinatisha kwenye wese
una uhakika ni 00 model .nafikiri ni 97/98 model hiyo
nime pm kwako
gari ipo wapi
docs zote unazo i.e importation docs,duty receipt na zote zinazotakikana?