Bei nafuu tu... Quick business

Bei nafuu tu... Quick business

Big Money

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
166
Reaction score
15
Toyota Cresta GX100
Year: 2000
Km: 121,000
Engine capacity: 1988cc
Very good condition working well
Full a/c
Radio AM/FM
CD player
Autolocking system
Bei 4.8mil pungufu tunaongea!!
0716398757
Serious buyers
 

Attachments

  • 1390139634747.jpg
    1390139634747.jpg
    42.2 KB · Views: 122
  • 1390139686219.jpg
    1390139686219.jpg
    74.8 KB · Views: 116
  • 1390139760725.jpg
    1390139760725.jpg
    31.5 KB · Views: 114
  • 1390139830636.jpg
    1390139830636.jpg
    57.2 KB · Views: 107
  • 1390139932340.jpg
    1390139932340.jpg
    69.3 KB · Views: 108
silinda ngapi hiyo. vp ulishawahi kuitia spana, ama kuionyoosha
 
silinda ngapi hiyo. vp ulishawahi kuitia spana, ama kuionyoosha

6 cyllinder maarufu kama 1g ipo poa sana, spana ndogo ndogo zimepita kama kawaida ya gari zote ila sio za matatizo makubwa gari iko poa sana hata ukitaka safarisha haiwezi sumbua sumbua!!
 
Kwaio inaweza fika mbeya bila matatizo, na Tairi zake vip ingawa nimeziona kwa Picture fafanua
 
Kwaio inaweza fika mbeya bila matatizo, na Tairi zake vip ingawa nimeziona kwa Picture fafanua

Sio Mbeya tu hata Zambia, Tairi zipo fresh wala sio vipara, nikuchukua na kuanza safari tu!!!
 
six kaka zinatisha kwenye wese

Maneno tu hayo ya watu, ila ukiamua miliki gari bhaasi huwezi shindwa mafuta, ni sawa ukiwa mpendwa maombi huwezi ona kazi!! Njoo uione tu mwenywe tu boss mafuta kitu kidg tu mkuu la muhimu ni gari!!
 
una uhakika ni 00 model .nafikiri ni 97/98 model hiyo

Wakat naandika sikuwa na card ya gari hapa nipo na lingine ila nahis upo sawa mkuu itakua ya '99 lakin mwaka si hoja cha muhimu gari saiv ipo kwenye condition gani, ina matairi mapya sport rims inatembea vzuri haina tatizo lolote, engine iko poa haijaguswa hayo ndo ya muhimu!!
 
Back
Top Bottom