Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,393
Desktop yoyote stationary inafaa hata kama specs ndogo. Kusave hela tafuta hata i3 ama i5 gen za zamani kama ya 4 hivi, Hizi unapata chini ya laki na nusu, ama pentium mpya kama gen ya 8 bei humo humo.Mkuu vipi kwa matumizi ya biashara ya stationery ni desktop ipi itanifaa zaidi na bei yake?
Unauza Ram ama ni hizo tu?Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb
bei ni 30,000 Tu.
ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000.
Nipo kimara Dar es Salaam
0782780980 View attachment 3199638
Hapana sifanyi biashara ya Ram ni hizi tu ndio ninazo.Unauza Ram ama ni hizo tu?
Ryzen 5xxxU kama first priority, ama i3/i5/i7 gen ya 12 kupanda.Mkuu bajet ya 1m napata laptop gani nzuri 14" kwa ajili ya programming. Brand new
Ipo hp 255 G9Kaka kuna hii nimeona Alibaba ila sijaelewa feature yake na unavyojua hawachelewi kukupiga wachina(Utapeli)..kama kuna kitu nashida nacho ni PC aisee hasa kwenye kazi za programming.i7 ila bei ya kizalendo..SSD itapendeza zaidi pia naona kuna nyingine hybrid zina HDD na SSD yani unyama mwingi izo sijui ni aina gani...Pia upana muhimu atleast ianzie inch 16+..backlight keyboard..Recommendation hapaView attachment 2878683
Mkuu pitia huu uzi kuanzia mwanzo utapata jibu la swali lako... Kuna recommendation nyingi zipo kwenye huu uzi.Uzi muhimu sana huu, Asante mkuu kwa kutupa elimu.Niliwahi nunua computer nisijue chochote ili mradi tu ni computer matokeo yake iliharibika mapema
Sasa nina swali moja pengine linaweza kuwa refu kidogo.
Nataka kununua tena laptop ambayo nataka kufanyia online market na graphics na kwa siku za usoni nitaongeza shughuli kwa kutumia computer kama kozinza mtandaoni na kadhalika.
Je natakiwa kuangalia nini ninapotaka kununua laptop?
2. Je specifications zipi natakiwa kuzingatia ninaponunua computer tena.
3.brand zipi za computer ni imara na zinadumu
44 Naweza kupata wapi kwa kariakoo laptop nzuri zenye sifa hizo kwa bei nuu ya chini ya 700,000-750,000/?
Asante sana kwa muda wako
Hii kali zaidi mkuu, ipo kwenye budget yako? If you don't mind share duka mkuu.Mkuu hii apa unanishauri vp
Tsk electronics 0764071634Hii kali zaidi mkuu, ipo kwenye budget yako? If you don't mind share duka mkuu.
Hii nzuri kuliko zote nilizo recomend kabla, cpu ni kama zile Ryzen 5xxx niliokwambia mwanzo ila walifanya refresh ya gpu, so hizi kwenye graphics zipo vizuri.