Natafuta eneo la kuchimba hayo makitu Morogoro, nahitaji kuingia ubia kwa maana na mwenye eneo ila kwenye uchimbaji itakuwa juu yangu kinachopatikana tunagawana asilimia..Vifaa vya kuchimbia, Watu na jigs za kuchekechea ni juu yangu.

Ruby bei yake inategemea na quality na ukubwa wa jiwe. Kama ni gemstone na kubwa ina bei kubwa zaidi kuliko vipande vipande vidogo vidogo vyenye uzito zaidi.
Kitambo nilikuwa na connection na wanunuzi ambao walikuwa wathailand, wapakstan, na jamaa wa hong kong.