Natafuta eneo la kuchimba hayo makitu Morogoro, nahitaji kuingia ubia kwa maana na mwenye eneo ila kwenye uchimbaji itakuwa juu yangu kinachopatikana tunagawana asilimia..Vifaa vya kuchimbia, Watu na jigs za kuchekechea ni juu yangu.
Ruby bei yake inategemea na quality na ukubwa wa jiwe. Kama ni gemstone na kubwa ina bei kubwa zaidi kuliko vipande vipande vidogo vidogo vyenye uzito zaidi.Wakuu, naomba kufahamishwa soko na bei ya madini aina ya ruby kwa Dar es Salaam na Morogoro