Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
View attachment 104602
View attachment 104603View attachment 104603View attachment 104603
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kuniungisha kitabu changu cha SHERIA KWA KISWAHILI. tuliamua kupunguza bei ya kitabu kile toka Tshs. 15,000 hadi Tshs. 10,000 ili walau watu wengi wakipate.
lakini kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na garama za kusafirisha vitabu kwenda mkoani na maboresho mbalimbali tuliyoyafanya kwenye kitabu hicho, TUMEAMUA KUONGEZA BEI KIDOGO ILI ITUSAIDIE KUPRINT VINGI ZAIDI NA watu wengi zaidi wakipate kitabu hiki kutokana na copy nyingi tutakazozisambaza.
kuanzia tarehe 01/08/2013, kitabu hiki kitaanza kuuzwa kwa Tshs. 15,000. kwa bei ya rejereja. bei ya jumla kama unataka kuchukua vingi, tuwasiliane kupitia blog yangu SHERIA KWA KISWAHILI. hata hivyo, yapo maduka mengine ambayo yanaweza kuuza kitabu hiki kwa bei ya juu zaidi kutokana na jinsi wao wanavyofanya biashara. kwamfano, unaweza kukiona kitu hapa mtaani, kwa bei ya alfu 50,000, ukaenda mlimani city ukakikuta kitu kile kile kwa ubora uleule kinauzwa kwa Tshs. 300,000/=, hata kitabu hiki, kuna wengine wanaweza kuuza hata zaidi ya alfu 15,000/= hiyo ni juu yao, what matters for me ni kwamba bei waliyochukulia kwangu ni ile ya jumla ambayo nimeseti. hata hivyo, sidhani kama watazidisha hadi kufikia alfu ishirini, unaweza kubagain hata hivyo, watakupunguzia.
KITABU CHA SHERIA KWA KISWAHILI, kimesambaa sana kwa sasa, ARUSHA,MWANZA, DSM,KAHAMA,GEITA,SINGIDA,DODOMA. hapa dsm, vipo pale IMALASEKO SUPERMARKETS POSTA, na duka maarufu la kuuza vitabu la TPH BOOKSHOP posta.
ARUSHA Utavipata sehemu mbili tu, duka maarufu la KASE BOOK STORE boma road, na duka la Y2K BOOKSHOP lililopo stand ya mabasi ya Dar Express karibu na hospitali ya Serian.
MWANZA utavipata Bookpoint bookshop karibu na ofisi za precision air, Victoria bookshop, Serengeti bookshop na Gunda Bookshop mtaa wa salva connie.
SINGIDA utapata HIMAG stationary nyuma ya jengo la CCM.
DODOMA utavipata open university stationary, na VINCENT BOOKSHOP nyuma ya jengo la CCM.
KAHAMA utavipata Royal supermarkets na NYAMIZI stationary stand kuu ya mabasi.
NZEGA Utavipata Ruangisa stationary, na maishaplus stationary palepale katikati ya mji barabara kuu ya mwanza.