Chuma2
Senior Member
- Jun 18, 2014
- 159
- 64
Wandugu habari zenu? Hivi karibu mamlaka ya udhibiti wa bei za nishati ilitangaza kushuka kwa bei ya mafuta nchini kufuatia kushuka kwa bei ya pipa moja kutoka dola 100 mpaka 50 katika soko la dunia. Kama mafuta yameshuka kwa 50% katika soko la dunia, kwanini hawa EWURA wameshusha mafuta hata 20% haifiki.
Je kuna uwiano hapo? Hebu tusaidiane kwanini bei halisi isiwe nusu ya bei ya awali? Tuacheni kulala tudai haki zetu. Mafuta yakishuka hata gharama za maisha zita shuka.
Je kuna uwiano hapo? Hebu tusaidiane kwanini bei halisi isiwe nusu ya bei ya awali? Tuacheni kulala tudai haki zetu. Mafuta yakishuka hata gharama za maisha zita shuka.