CompaQ JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 281 Reaction score 134 Feb 26, 2013 #1 Heshima JF nilikuwa nauliza wadau kwa Bei ya simu Mpya hii nokia C5-3 kwa maduka ya Dar itakuwa ina range kati ya bei gani? Kwa wanaofahamu msaada!
Heshima JF nilikuwa nauliza wadau kwa Bei ya simu Mpya hii nokia C5-3 kwa maduka ya Dar itakuwa ina range kati ya bei gani? Kwa wanaofahamu msaada!