Behind the curtain: September 11

Endelea kufuatilia mkuu.. Hasa hasa nikiweka sehemu ya pili na ya Tatu.. Kuna mambo yenye utata sana yalifanywa na "US Intelligence Community" kabla na baada ya tukio ambayo yanatia shaka mno..
Itakuwa vizuri zaidi na zaidi kama utazielezea conspiracies mbalimbali zilizovuma baada ya tukio ili kuikamilisha hii simulizi vizuri mkuu The Bold
 
Shukrani sana mkuu..nataka nione utata wa US ktk sehemu ya jumatatu maana ..binafsi sikuyaamin na siamin mpaka leo juu ya tukio like nahis kama lilipikwa kwa ustad mkubwa sana
 
Endelea kufuatilia mkuu.. Hasa hasa nikiweka sehemu ya pili na ya Tatu.. Kuna mambo yenye utata sana yalifanywa na "US Intelligence Community" kabla na baada ya tukio ambayo yanatia shaka mno..
hao jamaa wa..".US INTELLIGENCE COMMUNITY""..ndio wanaompeleka puta trump asa hivi....wameamua kumpa taarifa nusunusu......us ipo mikononi mwao aisee...!!!!...
 
Back
Top Bottom