kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
- Thread starter
- #21
ingia playstore download hitwe humo utakutana na ya kustajabisha yani mwanamke yoyote utakayemkuta humo usianze na stori we anza kuuliza beiMtandao gani tena?
Hahaha kwamba pesa yako ndio maneno... Saafi kabisaingia playstore download hitwe humo utakutana na ya kustajabisha yani mwanamke yoyote utakayemkuta humo usianze na stori we anza kuuliza bei
Haha hatari we live in the world of technologyOoh asee... Mitandao ni mingi hatari... Sijawahi usikia huu! Ni date site au kama fb twita
Kwanza mzee huyo mwanamke wako hadi huko ana ac, umekwisha.. Me napenda sana mwanamke anaejua mwisho whatsapp tu.. Ila hawa wanaojua fb twita sijui hitwa Ig mara snapchat..
Siwataki
Mimi girlfriend wangu nimeifunga AC yake ya fb kule si kwa kumwachia mkeo kama unampenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha umenena mkuu na ukimwacha tu umekwisha aisee!Atafute nini fb, mwanamke akisha wekwa ndani hayo yote sharti asahau.. A concentrate na mmewe hiyo ndio hitma ya kila K
Mwanamke anamsamehe mwanaume wake hata akimfumania kwasababu hapendi.Point of correction... wanaume hawavumiliagi, wanawake ndio mabingwa wa kuvumilia. Kama huamini mkeo achepuke uone kama utamvumilia. Mwanaue anaweza kufanya vituko lukuki hata kuonyesha dalili kwamba hampendi mke/ gf wake lkn bado mke/ gf atavumilia akiamini ipo siku atabadilika
Be Humble is free of charge [emoji873]
Yap yap kweli bhana jamaa kajichanganyaPoint of correction... wanaume hawavumiliagi, wanawake ndio mabingwa wa kuvumilia. Kama huamini mkeo achepuke uone kama utamvumilia. Mwanaue anaweza kufanya vituko lukuki hata kuonyesha dalili kwamba hampendi mke/ gf wake lkn bado mke/ gf atavumilia akiamini ipo siku atabadilika
Be Humble is free of charge [emoji873]
Mwanamke anaweza akalia uongo kabisa lakini mwanaume siyo