Begi la askofu mgonjwa

Kumbe wala hakuwa amepoteza fahamu,hilo bag lisingeenda hospital bila maelezo yake kamili kwa walinzi wake.
 
Nadhani huyu Gwajima ni tapeli la kimataifa na inawezekana ana biashara nyingine haramu anafanya kwa mgongo wa kanisa. Lazima kuna kitu polisi wamemshtukia ndio sababu wanajaribu kumhoji na lazima tu ukweli utajulikana.

Usifikiri kila anayejiita nabii au mtume aliyetumwa na Bwana kama mtumishi wak na mwenye waumini wengi ni kweli ana nia ya kuhubiri neno la bwana na kuchunga kondoo wake. Wengine na matapeli, majambazi, Malaya na mafisadi wakubwa ktk nchi hii. Inabidi Polisi kuwa nao makini sina kufuatilia mienendo yao na vianzo vyao ya mapato maana sio sadaka tu inayowaingiza fedha nyingi hivyo kwa mara moja.
 
Hivi unaendaje kumtorosha mtu umebeba bag la nguo aliyeandaliwa kuispin hii story akajipange upya.
 
1. Gwajima amekosa heshima basic na hivyo anatupa shaka kama ni mtumishi wa mungu.

Lakini

2. Tutajuaje hiyo picha ni ya begi la Gwajima na si picha isiyohusika naye au iliyopandikizwa kwake?

Polisi na hao wafuasi/ walinzi wake wana nafasi nzuri ya kututhibitishia hili
 
Mtumishi wa mungu hulindwa na bwana wala sio bastola ss cjui bsstola ilikuwa ya nn au yakuibia wake za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…