Unajitahidi sana kutaka kuwajua watu kwenye mtandao unaoficha watu kwa ID fake.
Je October man unamjua ni nani ??
Unajua yeye ana ID ngapi unaweza zijua??
Utamjua akikujia PM na ID yake ya ya nne.
Usipende kiwajua watu kiundani kwenye jukwaa kama hili utakuja kupata matatizo rahisi sana mtu kukuingiza kwenye 18 akakufanyia ukatiri nje ya jukwaa.