Before you marry

Wanasaikolojia tuambieni uhusiano wa haya yanenwayo hapa na tabia halisi katika maisha ya kawaida :help:
 

hahahaha wengine hata home hatuli sana so hata ugenini mtu huwezi kujilazimisha
 
Kuna watu wanajua kuficha makucha na huwa hawatabiriki hata kidogo, pale utakapo jaribu yaoga maji ndipo utakapojuta kuzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…