Before you marry

Ndoa hazinaga straight formular, mambo yanabadilika kutokana mtu na mtu

Aaaah mkuu mengine ni kufurahisha tu,ila mapenzi yana namna tofauti kwa kila mtu unayekutana naye
 
Kwenye dunia yetu ya Tanzania ambayo hatuna kwenda kula hotelini ni bahati na tulizoea kula kwenye mkeka wetu kwa mikono... utaonea wengi

Mkuu Tanzania mbona wapo tu wanaokula kwa uma na kisu
 
hahahaha namba 1 imenichekesha je kama kwa hiyo tuwe tunategea lol kazi ipo afu namba 4na 5 kwa mtu aliefundishwa nidhamu ya kula tangu utotoni hivyo vitu kwake hawezi fanya

Mbele ya msosi wa ukweli kuna kusahau hizo kanuni za nidhamu ya kula
 
....wanajamii kama kuna mtu mwenye dikshonari karibu aniazime
na mimi nitoe maoni yangu kwenye huu Uzi...
Twafadharini jamani...
 
Mmmmhhhhh 😕😕😕😕😕😕:banghead:😎😎
 
....wanajamii kama kuna mtu mwenye dikshonari karibu aniazime
na mimi nitoe maoni yangu kwenye huu Uzi...
Twafadharini jamani...

Mkuu mbona hiyo lugha chepesi sana iliyotumika
 
what if she is hungry, na amemiss meat pengine 6 months wewe ndio umempa nyama siku hiyo??




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…