Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,242
- 1,472
Sijajua ila amemtukana Vanessa. Sijajua Vanessa kamfanyaje.Kisa nn
Yaani! Na mganga wao aliewaambia kuwa hio ndio siri ya mafanikio, KAFA; kisomo na arobaini vishafanyika. Wa kuwaponya na ujinga huu hayupo!Ajira zingine bana!?!? Mpaka ufanye ujinga ujinga ndo uingize?!?! Sasa Vanessa na huyo wapi na wapi jamani... Moja na elfu kabisa...
Ni juzi tu tuliona video ya msanii wa kimataifa vanessa mdee akimfundisha yai local artist Shishi baby salon cha ajabu ni leo ghafla wamenza kutupiana maneno uko instagram
shilole alianza na ujumbe huu [emoji116]
haikuchukua mda nae vanessa mdee v. money amendika maneno haya kupitia instagram account yake
"Nikupe KICKIII ujulikane au sio? Kila siku twanyamaza ndiyo mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio wale uliowazoea. P.s: You ain't worth this post inashushwa sasa hivi" #MessageSent
Shilelo kwa v money kachemka v money level nyingine